Faida Za Biashara Ya Forex

Biashara ya forex ni biashara kama biashara zingine. Kuna hasara na vile vile kuna faida. Kwa sasa nataka niongelee faida za biashara za forex Ni Rahisi Kuanza Kwanza kitu unachohitaji…

Demo Account Ni Nini? Forex Trading

Kati ya vitu ambavyo mtu anapoanza kutrade forex anatakiwa kufanya ni kuanza kutrade kwa kutumia demo account ila demo account ni nini hasa?  Demo account hiki ni kifupi cha Demonstration…

Ukweli Kuhusu Biashara Ya Forex…

Je Unajua ukweli kuhusu biashara ya forex? Watu wengi wanaoanza kutrade forex huwa wanakutana na mambo mengi na wanaambiwa na kusoma mambo mengi kuhusu forex. Kati ya hayo mambo mengi…

Je Unaweza Kutengeneza Pesa Trading Forex Hata Kama Hujui Kitu Chochote Kuhusu Forex?

Hili swali watu wengi sana wanajiuliza na kushindwa kupata majibu, so nataka nikuambie jibu hapa hapa bila kuficha bila kupepesa macho.  jibu ni NDIO  unaweza kutengeneza pesa kwa kutradde forex…

Aina Ya Traders, Tambua Wewe ni Trader wa Aina Gani

Kama ndio unaanza kutrade forex hiki ni kitu muhimu sana kukijua na ni  wewe unayetakiwa kufanya maamuzi kuwa unataka uwe trader wa aina gani. Hivyo kabla hujaanza ni bora kujitathmini…

Ufanye Nini Unapo Lose Trade? Forex Trading

Najua ishawahi kukutokea unaingia kwenye trade baada ya nusu saa au masaa mawili unalose au una-close hiyo trade pips -50. Unafanya nini sasa baada ya hapo? Unalia, unabamiza computer ukutani,…

error: Content is protected !!