Je, Hii Biashara Ya Forex Ina Faida YoYote Kwako?

Jibu linategemea wewe unahitaji nini


1. Kama unataka soko ambalo halilali.
2. Kama unataka fursa ya kufanya biashara mda wowote katika siku.
3. Kama unataka kutengeneza kiasi kikubwa cha pesa.
Basi nadhani FOREX ni mahala sahihi kwa hayo yote

NB: Kama utaweza tengeneza kiasi kikubwa cha pesa ndani ya mda mfupi, pia unaweza kupoteza kiwango cha fedha ndani ya mda mfupi huohuo

Watu gani wanaokuwepo/wanaoshiriki katika hii biashara?

1. Benki kuu (Central banks)
2. Serikali (Government)
3. Umoja wa wawekezaji(investment coorperation)
4. Wafanyabiashara wa duniani kote(businessies worldwide)
5 Wafanyabiashara wadogo(Retail trader)

Maeneo Makuu katika hii biashara duniani ni:
1. NEW YORK (United States Dollar USD)
2. LONDON (Euro EUR and Pound GBP)
3. FRANKFURT (France franc CHF)
4. TOKYO (Japanese YEN JPY)
5. SYDNEY(Austarlian dollar AUD)


Soko la FOREX hufunguliwa jumapili saa 6 usiku na kufungwa Ijumaa saa 5:59 usiku hivo ndani ya huu mda una uwezo wa kufanya biashara

0 0 vote
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
error: Content is protected !!
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x