Binary Options Trading Ni Nini

binary options trading ni nini

OK binary options trading ni nini?…..Well binary options haina tofauti kubwa sana na forex trading kwa sababu namna ya kutrade binary options market analysis ni ile ile, platform ya mt4 utaitumia kwa kufanya analysis, au kama utatumia trading view ni sawa, ila tofauti inakuja kwa kwenye maswala ya Broker na mda wa kutrade. Unapotrade forex ni sawa na utakavyotrade binary options kwa maana utakuwa unatabiri bei za bidhaa kwenye markets.

Concept ya binary Option trading  (BO) ni kwamba unapoingia kwenye trade unakuwa unafanya utabiri kuwa bei itapanda juu au kushuka chini ndani ya mda flan na huo mda ukifika trade inajifunga na unapata matokeo kama ni win au loss.

Mfano umefanya analysis na unaona price itaenda chini. Unasell ila kwenye binary rugha inayotumiwa ni PUT so unaclick PUT na inabidi uchague ndani ya mda flan kama ndani ya nusu saa au ndani ya dakika tano au hata ndani ya masaa mawili bei itakuwa chini. Baada ya hayo masaa kuisha trade inajifunga yenyewe na kama kweli bei ilishuka unapata profit na kama ilikuwa loss unakuwa umelose ile amount yote uliyokuwa umeweka.

Tofauti Kubwa kati ya Binary options na Forex Trading ni kwamba binary options unakuwa umebanwa na mda kwamba kila trade unayoingia inabidi useme ni mda gani hiyo trade itajifunga na kama ni ndani ya nusu saa, trade itajifunga nusu saa ikifika, ila kwenye forex trade inaweza kuwepo kwa mda mrefu sana ilimradi isiguse stop loss uliyoweka.

binary option trading ni ninI?
Binary Option Trading Ni Nini?


Tofauti nyingine amount per trade utakayoiweka iko fixed na haibadiliki hata kama market price imeshuka kwa umbali gani. Vile vile profit inatokana asilimia illiyowekwa na broker na kila pair ina asilimia yake.

Mfano kwenye account yako kuna $100 bucks na umeamua kutrade $10 bucks kwa kila trade. So baada ya kufanya analysis kwenye pair ya EURUSD yenye payout ya asilimia 70%, na ukaona price inaweza kushuka chini na kwa kukadiria ukaona ndani ya nusu saa itakuwa chini ya bei iliyopo mda huo, then una set time ndani nusu, unaweka hiyo $10 bucks yako, then unaclick PUT/Short, hapo unakuwa umeingia kwenye trade na ndani ya nusu saa trade itajifunga. binary options trading ni nini?

Kama ukiwa sahihi na bei kweli ikawa chini ndani ya nusu saa inamaana Win na utakuwa umewin asilimia 70% ya ile $10 bucks uliyokuwa umerisk na kwa maana hiyo profit yako itakuwa $7 bucks.

Ila kama utakuwa umekosea na bei ikawa imeenda juu baada ya nusu saa basi hiyo inakuwa ni Loss na utakuwa umepoteza ile $10 bucks yote uliyokuwa kuwa umerisk na balance itakuwa imebaki $90 bucks.

Kwenye Binary Options Unatrade Nini?

Kwenye binary options kuna aina nne za markets ambazo hata kwenye forex unaweza kutrade, kuna Currency Pairs, Stocks, Commodities, and Indices.


Currency Pairs
Hapa unatrade na thamani ya fedha zilizopo sokoni na unakua unaangalia kati ya currency hii na hii ni ipi itapanda thamani kuliko currency nyingine. Kwa hiyo  kwa mfano ukiona EUR/USD  unamaanisha unatrade na EUR currency kwamba unaangalia kama itapanda bei au itashuka bei against USD.


Commodities
Hivi ni vitu au assets kama Gold, Silver, Oil. Hizi bidhaa huwa tunatrade kwenye category ya commodities markets so kama ukiamua kutrade with Gold unakua unaangalia kama bei ya Gold itapanda  au itashuka.


Indices
Now Indices ni markets ambazo si sahihi kutrade sijawahi kutrade on indices kwa sababu ni ngumu sana kusoma price trend and get profits so sio nzuri.  Mfano wa indices ni kama NASDAQ.

Stocks
Finally My favourite Market is Stocks. Hii ndio market  ambayo huwa na trade mostly kwa sababu stocks ni unatrade kwenye makampuni kama Google, Yahoo, Ebay, Amazon, and even Apple and so on. So kwa mfano mimi ni mtu ambae nafatilia sana mambo ya technology so inakua rahisi kujua nini hasa kinainfluence bei ya bidhaa kupanda au kushuka. So Stocks ni aina nyingine ya Markets ambayo unaweza kutrade on binary options.


So hizo ndio types of markets au bidhaa ambazo unaweza kutrade with when your doing binary options.

I hope mpaka hapo umeelewa binary option trading ni nini na tofauti kati yake na forex trading. Kama unaswali usisite kunitafuta Telegram kwa kusearch Valmovick

0 0 vote
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
error: Content is protected !!
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x