Vitu Vinne 4 Vya Kuzingatia Wakati Unatrade Binary Options

So hapa ndio kazi yenyewe ilipo maana hivi vitu ni lazima uvizingatie kila wakati unapokua unatrade binary options kwa sababu hivi ni vitu muhimu kama vile unavyokuwa unaanglai lot size ipi utumie kutrade wakati unatrade forex.

Market/Assets au Pair

Kitu cha kwanza kuangalia wakati unafanya trading ni Bidhaa ambayo unataka kutrade. Hapa namaanisha unaangalia bidhaa ipi unataka kutrade katika category ya currency, au Stocks, au Commodities kwa hiyo ni step ya kwanza. Kama unaamua utrade na currency ukachagua EUR/USD haya sawa, Kama umechagua kufanya trade kwenye Stocks ukachagua Google haya. Ilimradi uwe unajua unatrade na market ipi.

Strike Rate/ Price au Bei utayotrade.

Hii ni bei ambayo unaitumia kufanyia trade au ni bei utakayo anza nayo. Kwa mfano unaanza na bei ya 1000  na unasema bei ya Google Stock itapanda bei, so kama bei ikiwa 1200 mwisho wa trade basi unakua umewin kama ikiwa 997 basi unakua umepoteza. So hii inaitwa Strike rate au Strike Price ni bei ambayo unaifanyia trade yaani unafanyia trade under a price of 1000 na kama umechagua bei itapanda basi mwishoni bei ikiwa juu ya Strike price uliyoanza nayo ambayo ni 1000 basi unakua umewin hiyo trade ikiwa chini ya Strike price unakua umepoteza

Vitu Vinne  (4) Vya Kuzingatia Wakati Unatrade Binary Options

Expiry Time- Short/ Medium/long/ Muda wa trade.

OK wakati unatrade unakua unatrade kati ya muda flan na muda flani. Yaani hapa namaanisha kwamba ukiamua kutrade na Google Stock, strike price ni 1000 na unasema bei itapanda basi kitu kingine unatakiwa kufanya ni kuamua hiyo bie itakua juu ya 1000 ndani ya muda gani kabla haijaanza kushuka chini ya strike price ambayo ni 1000, kama itakua ni ndani ya dakika moja, au dakika tano au dakikia kumi na tano au Nusu saa. Hizi huwa tunaita Time frame kwa sababu bei huwa inapanda kwa mda flan na baadae inashuka alafu inapanda tena kwa hiyo inabidi uchukue fursa ya kutrade. Baada ya kujua bei itapanda, basi inabidi ujue hiyo bei itakua juu kwa mda gani kabla haijashuka chini ya strike price uliyoweka.
So hiyo ndio Time Frame or Expiry time.

Payout Percentage au Asilimia ya Malipo utakayo yapata

Haya ni malipo ambayo  utapata kama ukifanikiwa katika hiyo trade. Kwa mfano uki-invest $10 dollars na payout ni asilimia 70% na ukafanikiwa kushinda hiyo trade, hii inamaanisha utarudishiwa 10 dollar yako na faida ya dollar $7 kama profit ya hiyo Trade kwa hiyo jumla $17 dollars.
Payout huwa ziko tofauti kati ya pair na pair kwa mfano ukiwa unatrade na Gold unakuta payout ni asilimia 65% ila ukitrade na Google Stock au Facebook Stock unakuta Payout ni asilimia 70% so ziko tofauti. Payout pia inakua tofauti kati ya brocker na brocker.

0 0 vote
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
error: Content is protected !!
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x