Jinsi Ya Kuanza Kutrade Binary Options

Jinsi Ya Kuanza Kutrade Binary Options.

OK nimejitahidi kuelezea kwa kifupi sana bnary options ni nini na uhakika utakua umepata idea kidogo and basics about binary options. Kama bado hujaelewa Inadibi urudie tena kusoma taratibu ndio utaelewa vizuri. Click hapa kujua binary options ni nini.
So sasa hivi nataka nikuonyeshe jinsi ya kuanza na kutrade binary options. Yaani hapa naongelea na kushare na wewe steps ambazo utaamua kuchagua kama utapenda kuanza kutrade binary Trading.

6 SIMPLE TRADING STEPS

  1. Unachagua market gani unayotaka kutrade.
  2. Unachagua time frame unayotaka kutrade.
  3. Unaweka kiasi cha hela unayotaka kutrade.
  4. Unaangalia Price rate ambayo unataka kuitumia katika hiyo trade. (Entry Price)
  5. Unachagua option. Kama unaona price itapanda juu unachagua CALL option kama unaona price itashuka chini unachagua PUT option.
  6. Click Apply

Jinsi Ya Kuanza Kutrade Binary Options.

OK naanza na jinsi ya kuanza alfu nitafatia na jinsi ya kutrade.
Kuna njia tatu ambazo unaweza ukaamua wewe mwenyewe uchague ipi ni nzuri kwako wakati unaingia katika huu ulimwengu wa binary options. Na naenda kuzielezea kama ifuatavyo, soma kwa  umakini kama kuna mtihani vile.


Njia Ya Kwanza – Trade Mwenyewe

Ok hapo juu niliongelea kidogo kuhusu broker nikasema nitaelezea kwa undani so iko hivi….
Ili uanze kufanya Binary options inabidi uchague broker. Brocker ni nini? Broker ni kama agent au kampuni ambayo inasimamia maswala yote ya trading. Ukifungua account kwa broker ndio utakua uwanja wako wa kufanyia all trading activities. Kuna brokers wengi sana kwa mfano Brokers ambao mimi huwa nawatumia ni Iq option, na expert option. Baada ya kuchagua broker kinachofata ni kufungua Demo Account.

Hii ni account ambayo utafanyia mazoezi kwa sababu huwezi kwenda direct na kudipost hela na kuanza kutrade moja kwa moja unachohitaji ni mazoezi kwanza.
Utafanya mazoezi kwanza then ukiwa tayari utafungua real money account kwa brocker ambaye utamchangua wewe mwenyewe alafu unadeposit funds minimum deposit funds kwa brocker wengi minimum huwa ni 10USD so utadepost funds baada ya hapo unaanza kutrade kwa kutumia hela ya kweli. Ila Kabla hujaanza kutradrade with real money trade fanya kwanza mazoezi kwenye Demo Account.


Jinsi ya Kutrade ukitumia hii njia Sasa ukitumia hii njia ni unakua unatrade mwenyewe. Na ili ufanikiwe kwenye hii njia ni unatakiwa ukae kwanza na ujue kusoma markets trends inabidi ujue ni mda gani inabidi uanze kutrade (enter into a trade) na ni mda gani unatakiwa uache kutrade. Yaani in short hii ni njia ambayo unahitaji ujifunze kwanza technical skills za kusoma markets na kujua signals ambazo ukianza kutrade zitakuleta profits.


Tools Utakazo hitaji Kutrade kwa kutumia Njia Hii

Sasa basi ili uweze kutrade mwenyewe kuna tools ambazo unahitaji kusoma hizo markets price trends. Hizi tolls huwa tunaziita Charts kama hiyo hapo chini….

Jinsi Ya Kuanza Kutrade Binary Options.


Hiyo ni tool ambayo unaihitaji  kuna indicator inabidi uziweke kama utapenda kutumia indicators, ila kama unaweza kusoma price action bila indicators pia ni sawa. kuna signals ambazo unatakiwa kuzigundua hizi signals ni ambazo zinatakusaidia wewe kujua ni wakati gani unatakiwa kuanza kutrade (Entry point) na ni wakati gani unatakiwa auche kutrade.


Jinsi Ya kupata Hizi Charts
Kuna aina mbili ya hizi charts kuna software based charts ambazo zutakuwa unaijua zinaitwa MT4, na hizi unainsall kwenye computer yako na hizi huwa zinapatika kwa brockers ukifungua account unapewa chart yako mwenyewe ambayo ndio silaha yako muhimu katika trading zako. Aina ya pili ni web based charts. Me huwa natumia free charts kama Trading View. Kuna za kulipia pia ila me huwa napenda kutumia hizi.
So hiyo ndiyo njia ya kwanza unayoweza kuanza nayo.


Piece of Advice
 Hii ni njia ambayo unatakiwa kukaa chini kwanza na kujua jinsi ya kusoma markets and identify the price trends. So ukianza kutrade with real money kwa kutumia hii njia hakikisha unajua jinsi ya kusoma charts na kujua jinsi ya enter into a trade and come out with profits.


Njia Ya pili – Trade kwa kutumia Signal Providers.

OK hiyo njia yankwanza nahisi utakua umeiona ni balaa sana, ila ndio muhimu kuliko zote. So kama unaona hiyo njia huwezi kuchukua basi inabidi uangalie hii
Hii ni kwamba kuna companies au watu wa kawaida ambao wenyewe wanatoa huduma ya kukupa signals za kutrade kuanzia Type of Market, entry point, strike price, and time frame.  Yaani wao ndio wanakaa chini kwenye hizo charts na kusoma markets trends na kuangalia price zinaendaje alafu wakiona signals wanakupa wewe kwa njia ya email au sms na we kazi yako ni kutrade right away baada ya kupokea signal.


Jinsi ya Kutrade Ukitumia Njia hii

Sasa jinsi ya kutrade kwa kutumia njia hii ni kwamba haya makampuni au hawa watu, ili upate signals zao inakubidi ufungue account kwa brokers ambao wao wanataka wewe ufungue. Yaani ili uanze kupata signal zao watakwambia fungua account kwa brocker XXX alafu depost funds baada ya hapo utaanza kupokea signal zao na utaanza kutrade right away kwa kutumia signal zao.


Baadhi ya signal providers wanalipisha fee kwa kila mwezi kwa ajilii ya kupata signal zao so kama hawana maswala ya kufungua account kwa broker basi wanalipisha ada ya kila mwezi ili uweze kupata signal zao.


Piece of Advice
Hii njia ni nzuri kwa sababu inakuondolea stress ya kuanza kutrade hasa kama ujui jinsi ya kusoma markets charts, ila inabidi ufanye research kwanza kabla ya kujiunga na hawa signal providers kwa sababu wengine wanakwambia ufungue account kwa broker flan ambae wanajua kabisa utapoteza hela zako.

Kitu kingine signal zao zinaweza kuwa sio nzuri kwa hiyo nashauri ufanye reseach kwanza kama signal zao zinaleta profits au la. Njia rahisi ya kufanya reseach ni kwenda google na youtube we andika jina la kampuni alafu ongeza neno Review. Kwa Mfano jina la kampuni ni Kopypastesignals, basi andika Kopypastesignals review  utaona reviews nyingi juu ya hiyo company then utaamua kama ni ya kweli au sio. Gud Luck

Jinsi Ya Kuanza Kutrade Binary Options.


Njia ya Tatu – Trade kwa kutumia Acccount Managers

Hii njia haina maneno mengi na ni nahisi ni nzuri sana kama ukimpata mtu wa ukweli. Hii nji ni kwamba Unatafta mtu ambae anatrade binary options alafu unampa account yako aisimmamie. Yaani yeye ndio anakua anafanya trades na kusoma charts wewe unakua uhusiki kabisa ila yeye ndio anakua mhusika mkuu.  Nimeshakutana na hawa watu kama watatu hivi wenyewe ndio wanatafuta watu ili wawasaidie kumanage account zao kwa hio kama unataka mtu akufanyie trades unamwambia.


Jinsi ya kutrade ukitumia Njia Hii. Iko hivi, hawa watu kuwapata wao ndio huwa wanatafta watu ili wawasaidie ukijiunga na facebook groups zinazouhusu binary options utaona wanaweka matangazo yao. So ukitaka kutrade unawasiliana nae baada ya hapo Unampa log in Information za account yako yaani email uliyotumia kufungua account na password kwa broker wako, ili yeye ndio awe anatrade badala yako baada ya hapo ye ataendelea kutrade.


Malipo yao ni kwamba mnashare profits kila mwisho wa week au mwezi. Mfano we utachukua asilimia 70% yeye atachukua asilimia 30% ya profit mtakazopata kila mwisho wa mwezi inategemea na yeye atavyo kua anataka.


Piece of Advice
Hii njia ni nzuri kwa sababu wewe kazi yako ni kudeposit money na kumuachia mtu afanye kazi alafu unasubiri profits. Kwa hiyo yeye anakua anakufanyia kazi. Ila sasa ubaya wa hii njia ni kwamba wengi wanataka udepost hela nyingi kwenye account yako kuanzia usd 1000 so hii inaweza kuwa ngumu kwako kama huna hiyo hela.

Mimi sijawahi kuwatumia hawa ila kama ukitaka kutumia njia hii HAKIKISHA UNATUMIA ACCOUNT YAKO USIMTUMIE HELA MOJA KWA MOJA. We deposit hela kwenye acccount yako then mpe acccount details. Kama mtu anakwambia mtumie hela well….. Uwe tayari hiyo hela kupotea kwa sababu wengi ni scammers na ishawahi nikuta nilipoteza $200 kizembe so Dont Be Stupid Idiot!!

Fahamu Maana ya Maneno Haya

  • CALL option: Ni option ambayo utaclick kama unaamini bei ya bidhaa itapanda juu
  • PUT Option: Ni option ambayo utaclick kama unaamini bei ya bidhaa itashuka chini.

  • Strike Rate/Strike Price/entry rate: Ni bei ambayo unaitumia kutrade. (Mfano strike rate ni 66.500 inamaanisha ukienda na CALL uption kwamba unaamini bei itapanda juu ndani ya Time frame ya dakika tano na baada ya dakika tano kuisha  Strike Rate ikawa 66.600 basi utakua umewin hiyo trade. Kama strike rate au strike price ikiwa 66.400 hiyo inamaanisha hiyo trade umepata loss na utaona unaambiwa hiyo  ni Loss.
  • Time Frame: Ni muda ambao unaingia kwenye trade na kutoka kwenye trade . (Mfano mimi huwa nina trade na time frame ya dakika 30 Hii inamaanisha kila trade naingia kwa nusu saa na ninatoka baada ya nusu saa.

Kwa Hiyoooo!!!

Kwa hiyo kuna njia tatu za namna ya kuanza kutrade,

1-utrade mwenyewe

2- utumie signal providers

3-Utumie account managers

Njia nzuri kuliko zote ni ujifunze kutrade mwenyee hiyo ndio njia nzuri kuliko zote, ila kama unataka kutengeneza hela na kumake some money wakati unajifunza namna ya kutrade mwenyewe ndio unaweza kutumia signal providers.

Cheers and Good Luck

0 0 vote
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
5 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Rajab issa
Rajab issa
11 months ago

Napenda iq option na nimefungua mpka real account …Ila naona hamna option ya kudeposit kwa local methods…I need help

Moh
Moh
7 months ago
Reply to  Rajab issa

Hellow nimejiunga iqoption tangu mwezi wa 1 mwaka 2020 ila kila nikitrade napata hasara,,naomba msaada wa kujua strategies please

Moh
Moh
7 months ago
Reply to  Valmovick

Naomba unitumie mfano wa jinsi gani inatumika atleast strategy 1 au mbili

error: Content is protected !!
5
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x