Vitu Unavyohitaji Kuanza Ku-Make Real Money Trading Binary Options

OK baada ya kufanya mazoezi ya kutosha kwenye demo accounts na kama ukiamua sasa unataka kutengeneza pesa on binary options kwa kutumia real money basi unahitaji hivi vitu:

  • Mtaji wa hela Kuanzia 200usd kama Laki tano Tsh 500,000/=.  Ila ili uwe on the safe side na kama kweli utakua serious ni vema ukaanza na 500usd hii ni kama million Moja, Tsh 1000,000/=….Ila kwa sasa hivi sio lazima uwe na kiasi hicho kikubwa kwa sababu broker wengi wana ruhusu kudeposit hata dollar 10 so ni wewe tu na uwezo wako na unavyojiamini kwa sababu wakati unatrade naamini kuna kitu kinaitwa money management utakuwa ushakijua.
  • kwa hiyo hiyo amount utakayoideposit unatakiwa kujua kuwa hata kama ukipata loss hauta ungza account yako. So minimum kabissa ili uanze kutrade kwa amani atleast anza na $100 ukishindwa basi anza na $50 chini ya hapo, ni kama vile itakuwa ngumu kumanage ukipata loss.
  • Laptop au computer ambayo unaweza kuingia online everyday na kutrade. Baadhi ya traders wanatumia simu kutrade na kufanya analysis kwenye simu but kwa upande wangu hiyo inakuwa ngumu kidogo na unakuwa hauko confortable so kama huna laptop try kutumia simu ila sio nzuri sana kwa kutumia simu. Kama vile hainogi flan hivi
  • Bank Credit card VISA au Master Card kwa ajili ya kudepost funds kwa broker wa account yako. Hii ni muhimu sana kwa sababu broker wengi wanatumia credit card ya bank, huku hakuna maswala ya mpesa wala tigo pesa, ni bank mwanzo mwisho au hizi online payments kama skrill.

That’s all and welcome to Binary options.

Kama uko interested in this way of making money online, contact me here and I will help you with any questions you have!

Cheers and Good Luck

0 0 vote
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
error: Content is protected !!
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x