jinsi ya kuanza biashara ya forex

jinsi ya kuanza biashara ya ForexWhat’s up what’s up! Kuna baadhi ya watu ambao wanaona hii kitu ya forex imeshika mwendo na iko on pick, maana sa hivi kila mtu anataka kuwa trader which is good! Ila jinsi ya kuanza biashara ya Forex inakujaje?

Well jinsi ya kujiunga na forex ni utafungua demo account kwa broker na ukishafungua account kwa broker unaaza kutrade. Simple and Clear
Demo account ni account ambayo utakuwa unaitumia kufanya mazoezi na ili ujue namna ya kutrade na kutengeneza faida, kwa hiyo kama ndio unaanza utabidi ufungue demo account ili ufanye mazoezi.

Ukijua namna ya kutrade na ukishafanya mazoezi ya kutosha kitu kinachofatia ni kufungua real account ambayo hii sasa utadeposit hela yako na utaanza kutrade na ukiweza kutengeneza faida unaweza kuwithdraw na kupata hela ya matumizi nyumbani. Ukitrade vizuri unapata faida na ukikosea kutrade unapata hasara!

Forex trading ni kama biashara zingine kwa hiyo kama ndio unataka kuanza kutrade inabidi ujifunze vitu vingi vinavyohusu soko la forex kwa sababu soko la forex ni kubwa na lina mambo mengi ambayo kama mtu ndio unaanza inabidi uchukue mda wa kujifunza namna soko la forex linavyofanya kazi.

jinsi ya kuanza biashara ya Forex

Kwa hiyo jinsi ya kujiunga na forex ni kitu simple ni unafungua demo account kwa broker kisha unaanza kutrade na kufanya mazoezi. Ukiona ushajua na uko tayari kutrade na real money au na hela za kweli…..well utaingia mfukoni mwako utadeposit hela na kuanza kutengeneza faida.

So kama unavyoona kuanza sio kazi saana ni kitendo cha dakika 15 tu….Ila kazi kubwa kuliko ni kujua jinsi ya kutrade forex, hapo ndio inaweza kukuchukua miezi na miaka mpaka uje kuelewa namna ya kufanya biashara ya forex kwa sababu ili ufanikiwe kwenye kila jambo inabidi ujifunze uingie darasani, ndo maaana hata kuendesha gari tu unatakiwa kuingia darasani.

Kwa Hiyo??!!

Kwa hiyo namna ya kuanza biashara ya forex ni rahisi ni kitendo cha ufungua demo account na kuanza kutrade ila, sasa ukitaka kujua namna ya kutrade au jinsi ya kutrade forex click hapa.0 0 vote
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
error: Content is protected !!
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x