Mafunzo Ya Forex


Mafunzo ya forex kwa hapa Tz hakika siku hizi yanapatikana, maana kila kukicha naona matangazo mengi yanayotoa seminars na mafunzo ya forex karibia kila mwezi sa hivi kuna mafunzo ya forex yanatolewa somewhere ila sasa kuna aina mbili ambazo me nimeziona. 

Kuna mafunzo ya watu binafsi, yaani kama traders wa Tz Wanaamua kuorganise mafunzo so unalipia kiasi flan na unaingia darasani. Pili kuna mafunzo yanayotolewa na brokers, na mafunzo haya huwa ni mazuri na kwa sababu yanakuwa yanatolewa na brokers mara nyingi huwa yanakuwa ya bure, na kuna some offers ambazo unaweza kupata kwa sababu brokers ndio anakuwa anajitangaza na anataka watu wafungue account kwake. So ukisikia kuna seminar ya forex usisite kwenda kama ukiwa na mda. 

Wakati unasubiri hizo seminar kuna njia nyingine ambazo unaweza kuzitumia a ukapata mafunzo ya forex.

Sehemu Za Kujifunza Namna Ya Kutrade Forex

Babypips.com


ili ujue namna ya kusoma charts na kufanya market analysis na namna ya kutrade kuna hii website babypips ni nzuri sana kwa kuanza wana content nzuri sana zinazohusu namna ya kutrae na mambo yote yanayohusu forex trading, unaweza kui-check it out.

Youtube

Youtube ni sehemu ambayo unaweza kujifunza strategy nyingi na vitu vingi vinavyohusu forex trading. Nimefurahi sana hata hapa Tanzania kuna channel nyingi sa hivi ambazo zinaongelea forex trading which is really good so we nenda youtube search forex tanzania kuna content nyingi utakutana nazo.

Watu wengi wanasema youtube videos hazifundishi vizuri na kuna wakati unahitaji kuwa na mentor kabisa ukae nae pembeni akuelekeze, Well kama ni hivyo kwanza kuna webnairs.

Jinsi ya kutrade Forex

Webnairs

Webnairs ni mikutano ambayo ipo online natumaini utakuwa unaijua so ukiona watu wanatagaza webnair inayohusu forex trading basi we andaa bundle la internet la kutosha ujiunge kwenye mkutano na ukafudishwe wakati upo hapo hapo sebuleni kwako au chumbani kwako.

Seminars

Seminar nyingi sa hivi zipo hapa Tanzania na zinazidi kuja na kuja, baadhi ni bure na zingine ni za kulipia so ni wewe kuhakikisha unaenda kwenye hizo seminars kama ukiwa na mda maana kila seminar wanafundisha tofauti so unaweza kujifunza kitu kipya kwenye kila seminar inayohusu forex trading.

Mentors.

Mwisho kabisa kuna mentors ambao wao wanatoa haya mafunzo kwa bei zao na gharama zao. So mentors wanaweza kutoa mafunzo kwa mfumo wa seminar au webnairs au one on one training uka kaa nae hapo akakufundisha mpaka ukaelewa. So ni wewe tu kutafuta mentor mzuri akufundishe namna ya kutrade mpaka uelewe.0 0 vote
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
error: Content is protected !!
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x