Weekly Trade Recap 16th – 20th March

Hello guys whats up how are you today, natumaini ni mzima wa afya na uko vizuri. So trading as usul this week nilikua busy sana na mambo ya kazi and sikuweza kupata mda wa kutrade kila siku but, only nilitrade Alhamisi ambapo nilikua na mda wa kutrade and I crushed it.

Falling Wedge Pattern

Hii trade was really cool na hapa wakati natrade hii trade mwanzo nilijua kuwa itaenda chini kwanza kabla ya kwenda juu nilikokuwa nategemea, so me nikaamua kuacha hiyo movement ya chini, kwa sababu me nilikua nataka kutrade movement ya juu, and well, patience pays, price ikarudi juu na kucross trendline ya juu then nikasubiri retest na kweli ikatokea, Boom Nikaingia kwenye trade and Crushed it.

Rising Channel Pattern

Well hii trade ilikuwa ni balaa na ni mfano wa trades ambazo kwa kuna wakati unaweza kudhania set up uliyoiona tayari ishaharibika na haifai, ila ukitulia na kuifatilia inaweza kurudi kwenye plan yako ya mwanzo na uka crush it. So kama unavyoona hapo hii trade nilikuwa nataka kutrade Sell but price ikaendelea kwenda juu total againsit the plan, ila kwa kuwa nilikuwa nataka kutrade on the downtown movement, me sikutaka kubadilisha mwelekeo na kwenda juu so nikasubiri price irudi chini and I crushed it with few Pips.

Ilianza kama rising wedge pattern then ikavurugika

Kama hii trade vile vile price ilienda against my plan ila nikaamuua kusubiri price irudi. Japo unaweza kuamua kwenda juu na ukawin hiyo trade na vile vile ukaisubiri chini na ukawin tena, ila me mara nyingi huwa napenda kusubiri price irudi kwenye set up ya mwanzo niliyokuwa nimepanga tangu mwanzo unless nione mambo tofauti kwenye higher timframes.

Rising Wedge Pattern

Now hii trade ndio mfano mzuri wa trade nzuri ya Rising Wedge Pattern. Yaani trade imeenda according to the plan kama ilivyotakiwa, japo ilivuka trendline ya juu kidogo but ilivyorudi chini ilicross trendline ya chini vizuri, ikarudi juu na ku-retest the area, Boom Nikaingia kwenye trade and Walaaaah!!! Beauty Win.

What A Beautiful Week, Sio Mbaya Trades Zilienda Good,

2 1 vote
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
error: Content is protected !!
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x