Eti Kutrade Forex Ni Kama Kubet au Gambling?

What’s up! What’s up Guys how doing today hope uko vizuri. 

So Kuna information nyingi Sana mtaani kwamba forex trading ni kama Kubet au Gambling ila Sasa je ni kweli trading ni Kama Kubet au ni gambling?  

Jibu Ni BIG NO. No! No! No!

Ngoja nikuelekeze sasa uelewe vizuri hasa kama unataka kuanza kutrade forex hii ni muhimu sana kusoma na kuelewa maana nataka nikueleweshe kuwa kitu ambacho unataka kuanza kufaya ni cha kweli na ukisikia mtu anakuambia ni Kubet utamcheka kimya kimya. 

 Alright ngoja tutumie mchezo wa kubeti. Yaani Kuna tofauti moja tu kati ya michezo ya kubet hasa kwenye micheszo kama football na forex trading na tofauti hiyo Ni moja tu. 

STRATEGY au PLANNING. 

Hapo hujaelewa kitu ngoja nikueleweshe chap. Iko hivi kwenye Kubet hauwezi kukaa chini  na kuandaa strategy au mbinu ambazo zitakufanya wewe uweke bet ya kwamba Manchester itashinda, na ikashinda. Mfano wiki ijayo livepool wanacheza, hakuna namna ambayo wewe Leo utakaa chini na kuandaa mbinu ambayo itakufanya wewe uweke bet ya kwamba Liverpool watashinda na kweli wakashinda hakuna strategy na hauwezi. Kwa Nini? Kwa sababu Kwanza sio wewe unaecheza mpira, pili michezo huwa inageuka hata kama kuna mchezaji bora wa dunia kwenye hiyo timu bado Kuna kufungwa na tatu michezo haitabiliki kabisa kwamba timu itashinda goli mbili na kweli ikashinda. 

Sasa ukija kwenye forex trading huku unaweza kukaa chini na kutengeneza strategy yako ambayo itakufanya utengeneze profit kila siku unavyotrade na ukapata win rate ya asilimia 75% mpaka 80%. 

Narudia tena kama timu yako ni Manchester mama Mimi, hatuwezi kukaa chini na kutengeneza mbinu ambayo itatufanya kuweka bet ya kwamba Manchester itashinda goli mbili au tatu kila mechi itakayocheza na kweli ikashinda, ila kama unatrade EURUSD unaweza kukaa chini na kutengeneza strategy ambayo itakufanya u-win at least asilimia 70% ya trades utakazotrade na hiyo ndio tofauti kati ya kutrade forex na Kubet. Umeelewa?

Iko hivi

Kwenye kubet hakuna formula ya kushinda, ila kwenye forex trading kuna formula za kushinda at least asilimia 70-75%

Kwenye kubet hakuna uhakika kama kweli timu itashinda, ila kwenye forex kuna uhakika wa asilimia 80 mpaka Mia kuwa trade lazima utakuwa win.

Kwenye kubet huwezi kumanage risk, ila kwenye forex tuna stop loss unaweza kumanage risk na bado unaweza kuwa na mbinu ya ku-win kila trade. So Kwa kifupi betting hamna strategy ya kuhakik ikwamba utashinda bet ila kwenye forex trading kuna strategy ambayo unaweza kutengeneza na ukapata faida at least asilimia 70 ya trades utakazo trade. 

Kitu kingine forex trading ni biashara inayofanywa na bank kubwa duniani tangu miaka ya ishirini huko miaka ya juzi juzi tu ndio wakaruhusu na watu wa kawaida wajihusishe na forex trading. So kitendo cha kwamba mabenk nayo yanahusika na forex ni moja ya ishara kwamba forex trading ni real business na ukiichukulia kama biashara utapata faida, tena unabidi uichukulie kama biashara tangu mwanzo unapoanza.

Hii ni kwa sababu ukiichukulia forex kama mchezo wa kubet utajikuta unapoteza hela nyingi na matokeo yake utasema forex ni kama kubet. Narudia Tena Forex Sio Mchezo wa Kubet. Kutrade forex inahitaji utulivu na ujuzi wa kusoma charts ambazo zitakufanya wewe uweze kuwin kila trade utakayoingia na kupata loss mara chache sana..

Sooooo!!!

Ukisikia mtu anakwambia forex ni kama kubet we Wala usibishane nae ila tambua tu atakuwa amejaribu kutrade na hakuelewa ndio maana akaona hivyo. Kitu cha muhimu katika kutofautisha forex na kubet ni kwamba kwenye forex mtu unaweza kutengeneza strategy ambazo zitakufanya wewe uweze kuwin kila trade, wakati kwenye kubet huwezi kutengeneza strategy ambayo itakufanya uwin kile bet utakayoweka. Got it???

We unafikiriaje kwenye hili swala??……

1.5 2 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
error: Content is protected !!
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x