Anzia Hapa

Take Note!!!!!!!!!

Hi There salama I hope your doing great. Ningependa kutoa Shukrani sana kwa trader mwenzangu mwenye blog ya Jifunze Forex Bure Huyu jamaa kwanza hata simfahamu ila amefanya kazi nzuri sana na najua alijipinda sana kuandika hizi content so natamani nimjue at least we could make a deal. Content zote zilizopo kwenye hii categegory ya Anzia Hapa Na Forex Ni Nini Nimezitoa kwenye blog yake, a.k. a Nimezicopy na kupaste on kwenye hii blog yangu.

Nimefanya hivyo kwa sababu hizi content nilitaka niziandike mimi mwenyewe ila nikagundua huyu mwenzetu ameshaandika na ameandika vizuri sana kiasi kwamba mimi nimeona haina haja ya kuandika mpya wakati yeye ameelezea ukweli na kila alichokisema ni sahihi.

…Kwa Hiyo…

Kwa Hiyo kama unataka kuendelea kusoma hizi content kwenye hii blog yangu no problem ila kama ukipenda kwenda kwenye blog yake Click Hapa.

In the mean time unaweza angalia hizo link hapo chini

Forex Trading Ni Nini

Jinsi Forex Trading Inavyofanya Kazi

Thamani Ya Pip Na Namna Pips Zinavyofanya Kazi

Je, Hii Biashara Ya Forex Ina Faida YoYote Kwako?

Aina Ya Forex Traders Katika Soko La Forex.

Terminology Za Forex Na Misamiati Yake

Jinsi Ya Kuchagua Forex Broker

error: Content is protected !!