Eti Kutrade Forex Ni Kama Kubet au Gambling?

What’s up! What’s up Guys how doing today hope uko vizuri.  So Kuna information nyingi Sana mtaani kwamba forex trading ni kama Kubet au Gambling ila Sasa je ni kweli…

Jinsi ya Kuanza Kutrade Forex 2021

Alright mwaka ndio unaendelea na ni kitu cha kumshukuru mungu wote tumevuka mwaka na mungu katujaalia, sasa je unajua Jinsi ya Kuanza Kutrade Forex 2021 Sasa ili u-survive kwenye hii…

Kwanini unatakiwa kuanza kujifunza kutrade forex 2020

Kwanini Inabidi Uanze Kujifunza Kutrade Forex 2020?

Kwanza kabisa kabla sijaanza kuongea maneno mengi, kwa mfano ukianza kutrade forex January 2020, na ukawa serious kabisa, ukifika mwezi wa 11 unaweza kuanza kutrade in Live Account, ila hata…

Ukweli Kuhusu Kutrade Kwa Kutumia Indicators. Je Zinafanya Kazi?

Nakumbuka wakati naanza kutrade nilianza kutrade kwa kutumia indicator inayoitwa RSI na Bollinger Bands indicators. Yaaani ulikuwa huniambii kitu Na nakumbuka nilitengeneza some profits na nikawithdraw some na nikalose a…

Mafunzo Ya Forex

Mafunzo ya forex kwa hapa Tz hakika siku hizi yanapatikana, maana kila kukicha naona matangazo mengi yanayotoa seminars na mafunzo ya forex karibia kila mwezi sa hivi kuna mafunzo ya…

Jinsi Ya Kutumia Forex

Kuna watu wengi wanajiuliza maswali mengi, juu ya jinsi ya kutrade forex, jinsi ya kufanya biashara ya forex, namna ya kufanya forex, namna ya kufanya biashara ya forex, na jinsi…

error: Content is protected !!