Je, Hii Biashara Ya Forex Ina Faida YoYote Kwako?

Jibu linategemea wewe unahitaji nini 1. Kama unataka soko ambalo halilali.2. Kama unataka fursa ya kufanya biashara mda wowote katika siku.3. Kama unataka kutengeneza kiasi kikubwa cha pesa.Basi nadhani FOREX…

Thamani Ya Pip Na Namna Pips Zinavyofanya Kazi

Nini Thamani ya PIP moja? Ili nijibu hili swali, kuna maelezo lazima nikupe. Ila kwa kifupi, thamani ya PIP moja inaweza kuwa ni 10 USD, au 1 USD, au 0.1…

Jinsi Forex Trading Inavyofanya Kazi

Forex inafanyika kwa kulinganisha thamani za Sarafu Mbili kwa pamoja (Currency Pairs). Kule sokoni unapoingia, ili uweze kununu na kuuza, utakuta bidhaa (currency) zimewekwa kwenye mafungu mafungu ya mbili mbili…

Biashara ya Forex Ni Nini

Forex Trading Ni Nini

Forex Trading Ni Nini? Forex Ni Biashara Ya Ubadilishaji Wa Fedha Za Kigeni Ambayo Imeonekana Kuwa Na Mzunguko Mkubwa Zaidi Kuliko Biashara Yoyote Dunianini Kwani Inazungusha Zaidi Ya Dolla Za…

error: Content is protected !!